Pages

Friday, September 11, 2015

KAMANDA KOVA AKABIDHI MIPIRA KWA TIMU YA AMANI LEO


Mwenyekiti wa kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Musa Salum akipokea mpira toka kwa Kamanda wa kanda maalum Suleman Kova kwa ajili ya timu ya amani inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali na mabalozi. Timu hii inafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Karume na itazunguka mikoani kuhubiri amani kwa kucheza mechi za kirafiki. (Picha na Rahel Pallangyo)

Wachezaji wakipasha


Kamanda Kova akisalimiana na wachezaji


Mwenyekiti wa kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Musa Salum akipiga danadana baada ya kupokea mpira toka kwa Kamanda wa kanda maalum Suleman Kova kwa ajili ya timu ya amani inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali na mabalozi. Timu hii inafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Karume na itazunguka mikoani kuhubiri amani kwa kucheza mechi za kirafiki.

Picha ya pamoja

Kamanda Kova akipiga filimbi kuashiria kuanza kwa mchezo

No comments:

Post a Comment