Pages

Thursday, September 17, 2015

CHELSEA YAIFUNGA MACCABI TEL-AVIV 4-0 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Willian akipongezwa kwa bao
Chelsea waliongeza bao tena kupitia kwa Oscar dakika ya 45 na bao la tatu lilifungwa na Diego Costa kipindi cha pili dakika ya 58 na kufanya 3-0 dhidi ya Maccabi Tel-aviv.
Cesc Fàbregas alifunga bao la nne dakika ya 78 na kufanya matokeo kuwa 4-0.
Willian aipa Chelsea bao la kuongoza
VIKOSI:
Chelsea:
Begovic, Azpilicueta, Zouma, Cahill, Baba, Willian, Fabregas, Loftus-Cheek, Oscar, Hazard, Remy.
Akiba: Blackman, Ivanovic, Ramires, Traore, Costa, Matic, Terry.

Maccabi Tel-Aviv: Rajkovic, Spungin, Ben Haim I, Tibi, Ben Haroush, Ben Haim II, Mitrovic, Alberman, Igiebor, Rikan, Zahavi.
Akiba: Lifshitz, Itzhaki, Micha, Vermouth, Carlos Garcia, Peretz, Radonjic.
Referee: Felix Zwayer (Germany)


No comments:

Post a Comment