Pages

Tuesday, July 14, 2015

ROBIN VAN PERSIE APIMWA AFYA, KUTAMBULISHWA LEO KWENYE UWANJA WA SUKRU SARACOGLU FENERBAHCE

Robin van Persie atatambulishwa rasmi leo jumanne tayari kujiunga Fenerbahce baada ya kufanyiwa vipimo jana jumatatu na mambo kwenda safi.

Van Persie akipimwa afya jana huko Istanbul
Van Persie anatagemewa kumwaga wino kwenye mkataba wa miaka 3 na atalipwa mpunga mrefu tu wa £240,000
Van Persie akitupia dole baada ya kuichezea Man United huko Old Trafford takribani miaka 3

No comments:

Post a Comment