Pages

Friday, July 17, 2015

MKENYA ALLAN WANGA ATUA AZAM


Straika Allan Wanga kutoka El Merrikh alitua jana mchana jijini Dar na anatarajiwa kuanza mazoezi ya pamoja na Azam FC na kama akielewana na klabu hiyo ataichezea kwenye Kagame.

Taarifa zinaeleza mazungumzo na uongozi wa Azam yako safi, lakini suala ni kocha tu kumuona mkali huyo wa mabao raia wa Kenya.

No comments:

Post a Comment