Pages

Saturday, July 18, 2015

MANCHESTER UNITED WAMGEUKIA FOWADI WA BARCELONA PEDRO

Anatakiwa Old Trafford
Manchester United kwa karibu sana wanafukuzia sahihi ya Fowadi  wa  Barcelona Pedro

 Arda Turan (katikati) na Gerard Pique wakati wa mzoezi

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho nae amekuwa akimwitaji mchezaji huyo Pedro anayeuzwa dau kama la
£22m

Kocha wa Man United  Louis van Gaal

No comments:

Post a Comment