Kipa
wazamani wa Real Madrid Iker Casillas, akiwa mbele ya mataji aliyotwaa
na timu hiyo kwa vipindi tofauti alivyokuwa akiichezea timu hiyo, ambapo
jana alikuwa na mkutano na waandishi wa habari kabla ya kwenda kujiunga
na Porto ya Ureno. Casillas ameichezea Real kwa miaka 25 mfululizo. |
No comments:
Post a Comment