TFF imepokea kwa
masikitiko makubwa taarifa za mgogoro wa kimkataba kati ya Mchezaji Ramadhani
Singano wa klabu ya Simba.
TFF imeagiza mwakilishi
wa klabu ya Simba pamoja na mchezaji wa Simba wafike ofisi za TFF siku ya
Jumanne tarehe 09/06/2015 kwa mazungumzo.
Kila upande umetakiwa
uje na vielelezo vyake.
Katika kipindi hiki cha
kuelekea kwenye mazungumzo,TFF inaziasa pande zote mbili zijiepushe na kutoa
matamko yanayoweza kuchochea hali ya kutoelewana na kuamsha hisia mbaya katika
familia ya mpira wa Miguu Tanzania.
No comments:
Post a Comment