Pages

Monday, June 29, 2015

NIZAR NA KADO WAPATA AJALI DODOMA WAKIELEKEA SHINYANGA, GARI LAO LAHARIBIKA VIBAYA


Shaban Kado 1 
Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni tairi la nyuma kuchomoka.
Kwenye interview Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.
shaban Kado 2
shaban kado 3
shaban kado 4

No comments:

Post a Comment