Pages

Friday, June 12, 2015

MSUVA MCHEZAJI BORA TANZANIA BARA, WAZAZI WAKE WAPOKEA TUZO YAKE


 
Baba yake mshambuliaji wa Yanga, Happygod Msuva, mkewe Suzan James na binti yao Mary ambaye ni dada wa Msuva wakipokea zawadi ya mchezaji bora wa Tanzania Bara aliyoshinda Msuva.


Wazazi na dada yake Msuva walikabidhiwa tuzo hiyo na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia ambaye aliwahi kuwa Katibu Mwenezi wa Simba.
Msuva ameshinda tuzo hiyo kwa kuwapiku Mrisho Ngassa na beki wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’.
KWA HISANI YA SALEH JEMBE BLOG

WAZAZI WA MSUVA WAKIPOKEA ZAWADI YA MFUNGAJI BORA.     

No comments:

Post a Comment