Pages

Wednesday, June 3, 2015

KWA DAU HILI KUTOKA KWA REAL MADRID RAHEEM STERLING LAZIMA AONDOKE TU LIVERPOOL.

Real Madrid wameweka dau nzito na kutaka ndani ya wiki mbili Raheem Sterling asaini mkataba na timu hiyo ya Spain. Kutokana na Raheem kukataa kusaini mkataba mpya na Liverpool, club nyingi zimeonyesha nia ya kumsaini.
Real inategemea kufungua mazungumzo na Liverpool na kuwalipa €60 million (£45m) ili Raheem Sterling ahamie Real ndani ya wiki mbili zijazo.

No comments:

Post a Comment