Pages

Tuesday, June 2, 2015

ADIDAS WAZINDUA KIATU KIPYA CHA LIONEL MESSI KUKIVAA FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE DHIDI YA JUVENTUS JUMAMOSI


Adidas imekizindua kiatu maalum cha Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Uefa Champions League kati ya timu yake ya Fc Barcelona dhidi ya Juventus.
Messi atakitumia kiatu hicho pia kwenye mashindano ya Copa America.

No comments:

Post a Comment