Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, May 30, 2015

SEPP BLATTER RAIS WA FIFA TENA KWA MIAKA 5, AMSHINDA MPINZANI WAKE ALI BIN AL-HUSSEIN

Sepp Blatter mambo safi sasa!!Sepp Blatter ametetea vyema kiti chake cha Urais wa FIFA kwa mara ya 5 baada ya kushinda Uchaguzi uliofanyika Leo huko Uswisi baada ya Mpinzani wake kutoka Jordan kusalimu amri katika Raundi ya pili ya Kura.
Ushindi huu wa Blatter umekuja baada ya kugubikwa na Kashfa ya Rushwa iliyotokana na hatua ya Marekani kufungua Mashitaka kwa Maafisa wa FIFA kwa tuhuma za rushwa Siku moja tu kabla Uchaguzi huo kufanyika.

Ingawa katika Raundi ya Kwanza ya Kura si Blatter wala Mpinzani wake Prince Ali bin Al Hussein alieshinda Theluthi mbili ya Kura ili kushinda Uchaguzi huo wa Uraisi baada ya Blatter kupata Kura 133 na Prince Ali kupata 73, kitu ambacho kingepeleka Kura kupigwa tena, Mjordan huyo aliamua kubwaga manyanga na kukubali kushindwa.Akipokea ushindi wake kwa vifijo Ukumbini, Blatter alitamba: "Twende FIFA, Twende FIFA!" Mapema hii Leo, akiongea kwenye Mkutano wa Kongresi ya FIFA, Blatter alisema kama Uenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia za Miaka ya 2018 na 2022 ungeenda kwa Nchi nyingine na si Russia na Qatar basi kashfa hiyo ya Rushwa isingekuwepo.

Handshake: Blatter's (left) victory now raises the threat of European nations boycotting future World Cups - a proposal put forward by UEFA president Michel Platini (right) on Thursday
Disappointment: Following the win, the Chairman of the England Football Association Greg Dyke (right) said FIFA 'will not reform itself under Blatter'
Blatter beat Prince Ali bin al-Hussein by a margin of 133-73 in the first round of voting, forcing his withdrawalBlatter beat Prince Ali bin al-Hussein by a margin of 133-73 in the first round of voting, forcing his withdrawal

Defeat: Prince Ali (right, with UEFA president Michel Platini) was eligible to take part in a second round of voting but still withdrew
FA chairman Greg Dyke steps forward to cast his vote in Friday's presidential election in Zurich

No comments:

Post a Comment