Javier
Hernandez 'Chicharito', amerudishwa kutoka Real Madrid alikokuwa kwa
Mkopo Msimu uliopita baada ya Miamba hiyo ya Spain kukataa kutumia
nafasi yao ya kumchukua moja kwa moja.
Lakini hata huko Man United inadaiwa Chicharito hatakaa kwani Meneja Louis van Gaal anatarajiwa kumtumia kama chambo ili kuwanasa Mastaa anaowawinda yeye.
Inasemekana Van Gaal anaamini rekodi ya Chicharito ya kupiga Bao 5 katika Mechi zake 11 alizocheza mwisho na Real kutamfungulia Soko la kupata Timu haraka na yeye kupata upenyo kumnasa Mchezaji anaemtaka. Javier Hernandez akishangilia moja ya bao lake huko Spain wakati akiichezea Klabu hiyo ya Real Madrid ambayo msimu huu haikupata Kombe lolote na mwisho wakimtimua Kocha wake Carlo Ancelotti.
Kurudi Old TraffordJavier Hernandez

No comments:
Post a Comment