Ferdinand, mwenye Miaka 36, alimpoteza Mkewe Rebecca aliezaa nae Watoto Watatu hapo Mei Mosi Mwaka huu baada kuugua kansa na kufariki.
Katika maisha yake ya Soka aliichezea Timu ya Taifa ya England mara 81 na pia kuwa Nahodha wake.Kwenye Klabu, Ferdinand alizichezea West Ham, Leeds United, Man United na kumalizia Msimu huu akiwa QPR ambayo imeshushwa Daraja toka Ligi Kuu England.
Akiwa na Man United, Ferdinand alitwaa Ubingwa wa England mara kadhaa na pia UEFA CHAMPIONS LIGI pamoja na Klabu Bingwa ya Dunia.
Akitangaza kustaafu, Ferdinand alitoa shukran kwa Mameneja na Wafanyakazi wa Klabu alizopitia pamoja na Familia yake na hasa Mkewe.Ferdinand akisherekea Ubingwa akiwa na Klabu ya Manchester United mwaka 2003 Kwenye Ubingwa wa Ligi Kuu England akiwa na David Beckham kwenye picha.
Ferdinand akipeana mkono na Kaka yake Anton walipokutana Uso kwa uso na Manchester United dhidi ya West Ham huko Upton Park mnamo mwaka 2005.
Siyo tu kwenye Ushindi Rio Ferdinand pia alipokuwa akiukosa ushindi Aliumia na hapa walitolewa nje England kwenye Kombe la Dunia
Cristiano Ronaldo mwezi wa tano mwaka 2007 huko Old Trafford walipoutwaa ubingwa na hapa Ferdinand alipata picha ya pamoja.
Ferdinand akiwa na Joe Cole mwaka 2008 hukoM oscow
Nemanja Vidic, Anderson, Patrice Evra, Edwin van der Sar, Carlos Tevez, Ferdinand, Brown, Ryan Giggs na Mikael Silvestre wakishangilia baada ya kuitwanga Chelsea huko Moscow mnamo mwaka 2008
Ferdinand akipozi na Ferguson pamoja na Giggs na Makombe yao mwaka 2008
2009
Manchester United kwenye picha ya pamoja mwaka 2009 walipoibuka na Ubingwa.Rio akiwa na Moyes na Nemanja Vidic
Mwali!!Rio akishangilia moja ya bao lake akiwa Old TraffordKwenye Chumba cha kubadilishia nguo Rio akiendesha Shangwe za nguvu akiwa UnitedUbingwa wa Uefa Champions
Mavuno!! Ligi Kuu na Klabu BingwaKwenye Tofauti!NBA 2013
No comments:
Post a Comment