Uvumi
wa wasiwasi kati ya makocha hao wawili ulizuka baada ya Giggs kukataa
kusherehekea bao la ushindi la Ashley Young siku ya jumatano.
Aliyekuwa
mchezaji mwenza katika kilabu hiyo Paul Scholes alisema kwamba Giggs
amechoka kuwa mkufunzi chini Ya Louis Van Gaal kwa miaka mitatu ijayo.
Lakini Giggs amesema kuwa wawili hao wana ushirikiano mzuri kati yao na kwamba anafurahia kazi yake chini ya mkufunzi Van Gaal.

Lakini Giggs amesema kuwa wawili hao wana ushirikiano mzuri kati yao na kwamba anafurahia kazi yake chini ya mkufunzi Van Gaal.

No comments:
Post a Comment