Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi
Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka
FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya
mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na
muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja
na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha
Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni
zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zake
Mtutu wa wana FFU - Ughaibuni ukiungurumishwa.
Kamanda Mkuu wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni,Ibrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Kamunja akiokwa na kikosi kizima.
Kamanda Ras Makunja (pili kushoto) akiongoza mashambulizi.
No comments:
Post a Comment