
Mcheza filamu wa Hollywood,Harrison Ford, anapatiwa matibabu katika Hospitali moja mjini Los Angels baada ya ndege yake kuukuu kuanguka katika uwanja wa Gofu.
Mcheza filamu huyo mwenye umri wa miaka 72 alikuwa akiendesha ndege hiyo mwenyewe.
Ndege hiyo ndogo ilinasa kwenye mti wakati ilipokuwa ikitua kwa dharula.

Matabibu wamesema Ford anaendelea vizuri na kuwa hali yake itatengamaa kabisa.
No comments:
Post a Comment