DI MARIA ATAKIWA KUONYESHA KIWANGO
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameshindwa kuonyesha hali ya mchezo uliomfanya kupata uhamisho hadi kilabu hiyo ya Old Trafford kwa kitita cha pauni millioni 59.7 wakati wa kipindi cha uhamisho cha mwezi Julai na Agosti ,lakini Van Gaal anahisi kwamba raia huyo wa Argentina si mchezaji pekee anayejaribu kuzoea maisha katika kilabu hiyo.
''Ni rahisi kusema hivyo lakini siwezi kuthibitisha''
''Nadhani ni wachezaji wote ambao tumenunua, msimu wa kwanza huwa mgumu. Nilielezea hilo katika mkutano na wanahabari baada ya mechi dhidi ya Sunderland''.

Post a Comment