Pages

Thursday, March 19, 2015

CARLOS TEVEZ AIWEZESHA JUVENTUS KUSONGA MBELE UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUIFUNGA BORUSSIA DORTMUND 3-0

Dakika ya 79 Carlos Tévez aliipa tena bao juve na kufanya bao kuwa 3-0 dhidi ya Borussia baada ya kupata mpira kutoka kwa
Roberto Pereyra.


Kipindi cha pili dakika ya 70 Morata aliwapatia bao la pili Juventus na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund na Agg kuwa (1-4) akipata mpira kutoka kwa Carlos Tévez.

Carlos Tévez anaipa bao la Mapeema dakika ya 3 Juventus baada ya kupokea mpira kutoka kwa Patrice Evra. Paul Pogba akiondoka Uwanjani baada ya kuumiaVIKOSI:
Borussia Dortmund:
Weidenfeller, Papastathopoulos, Subotic, Hummels, Schmelzer, Kampl, Bender, Gundogan, Reus, Mkhitaryan, Aubameyang.
Akiba: Langerak, Kehl, Kagawa, Blaszczykowski, Kirch, Immobile, Ramos.

Juventus: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Vidal, Marchisio, Pogba, Tevez, Pereyra, Morata.
Akiba: Storari, Ogbonna, Barzagli, Pepe, Padoin, Llorente, Matri.
Refa: Milorad Mazic

No comments:

Post a Comment