Pages

Friday, January 16, 2015

MATHIEU, ROBERTO, PEDRO NA ADRIANO WAIPELEKA BARCA HATUA YA ROBO FAINALI COPA DEL REY BAADA YA KUIFUNGA ELCHE MABAO 4-0


Jeremy Mathieu akipongezwa baada ya kuifunga Elche bao kwenye Uwanja wao  Martinez Valero stadium, Barca walicheza bila Mastaa wao karibu wote.

Sergi Roberto nae alitupia

Pedro Rodriguez, akichuana na mchezajiwa  Elche

Sergi Roberto akishangilia bao.

Fowadi Adama Traore akikumbana na Franco Fragapane

KOCHA Luis Enrique ameipiku Real kwa kusonga atua ya Robo Fainali kwenye Kombe la Copa del Rey
VIKOSI:
Elche:
Manu Herrera, Peral, Lomban, Pelegrin (Fajr 80), Albacar, Galvez (Roco 69), Pasalic (Adrian 63), Coro, Alvaro, Fragapane, Cristian Herrera.
Subs not used: Pol Freixanet, Enzo Roco, Domingo Cisma, Aaron, Moha.
Booked: Albacar, Peral.
Barcelona: Ter Stegen, Montoya (Douglas 62), Bartra, Mathieu, Adriano, Gumbau, Sergi Roberto, Rafinha, Pedro, Munir, Adama (Halilovic 62). 
Subs not used:Masip, Pique, Rakitic, Douglas, Halilovic, Ie, Diagne.
Goals: Mathieu 21, Sergi Roberto 41, Pedro 43, Adriano 90.
Referee: Santiago Jaime Latre
Attendance: 13,500.

No comments:

Post a Comment