Pages

Friday, January 9, 2015

KIPA VICTOR VALDES RASMI MANCHESTER UNITED, ASAINI MKATABA WA MIEZI 18 KUITUMIKIA MAN UNITED

 

View image on TwitterVALDES ASAINI MAN UNITED!
Kipa wa zamani wa Barcelona Victor Valdes amekubali ofa ya kujiunga na Manchester United.
Valdes, mwenye Miaka 32 ambae ni Mchezaji wa Kimataifa wa Spain, amekuwa akifanya Mazoezi na Man United kwa Miezi miwili sasa katika harakati zake za kurudia hali yake ya kawaida baada ya kuumia vibaya Goti lake Mwezi Machi.

Victor Valdes kajiunga na Klabu ya  Manchester United kwa miezi  18.

No comments:

Post a Comment