Pages

Thursday, January 22, 2015

COPA DEL REY: BARCELONA 1 - 0 ATLETICO MADRID, LIONEL MESSI ATEMA CHECHE DAKIKA ZA MWISHONI!!

Lionel Messi akishangilia bao lake la dakika za mwishoni baada ya kuifunga bao Atletico Madrid kwenye Mchezo wa kwanza Nou Camp. Messi pia alikosa penati
Wachezaji wa Barcelona  wakimpongeza  Messi baada ya kuifunga bao  Atletico leo Alhamisi usiku
Messi akiambaa na mpira
Jan Oblak hakuona ndani!
Messi akipeta..
Luis Suarez na Messi baada ya kuishinnda Atletico bao dakika za lala salama kwenye Copa del Rey mchezo wa kwanza.
Arda Turan akilindwa kwa karibu na Mchezaji wa Barca Dani Alves
Messi na Koke
Diego Simeone

No comments:

Post a Comment