Rooney, ambaye aliripotiwa kugombana na Sir Alex Ferguson Mwaka mmoja uliopita hasa baada ya kutua kwa Robin van Persie Klabuni hapo, sasa ametimiza Miaka 10 akiwa na Man United na amesheherekea kwa kumpongeza Ferguson kwa kumpa nafasi kucheza Old Trafford ikiwa ni dalili ya wazi ulio uhusiano wao ‘uliopoa’ sasa umerudi tena.
Rooney, ambae alisaini Mkataba wa Miaka Mitano na Nusu Mwezi Februari, amesema yeye atamaliza Mkataba huo akiwa hapo hapo Man United.
Amesema: “Nategemea hilo. Nimesaini Mkataba wa muda mrefu na nategemea baada ya Miaka Mitano
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Jumamosi Septemba 20
14:45 QPR v Stoke
17:00 Aston Villa v Arsenal
17:00 Burnley v Sunderland
17:00 Newcastle v Hull
17:00 Swansea v Southampton
19:30 West Ham v Liverpool
Jumapili Septemba 21
15:30 Leicester v Man United
15:30 Tottenham v West Brom
18:00 Everton v Crystal Palace
18:00 Man City v Chelsea
Jumamosi Septemba 27
14:45 Liverpool v Everton
17:00 Chelsea v Aston Villa
17:00 Crystal Palace v Leicester
17:00 Hull v Man City
17:00 Man United v West Ham
17:00 Southampton v QPR
17:00 Sunderland v Swansea
19:30 Arsenal v Tottenham
Jumapili Septemba 28
18:00 West Brom v Burnley
Jumatatu Septemba 29
22:00 Stoke v Newcastle
No comments:
Post a Comment