Pages

Saturday, September 6, 2014

TUKIO LA KUVUTIA: MAN UTD YAPAMBA HARUSI NCHINI KENYA


Wachumba wakiwa na furaha: Je unapata tabu kugundua wachumba hawa wanasapoti timu gani?
Ni kama kubakia njia panda: Utafanya nini kama kuna mchezo mkubwa unachezwa lakini pia umealikwa katika harusi katika muda huo huo wa mchezo? Je utakwenda na redio kwa kusikilza matangazo ya mchezo huo ukiwa harusini? au utaendelea na matukio ya harusi kwasababu tu ya ukubwa wa siku hiyo kwa wawili hao?
Nchini Kenya wachumba waliamua kupamba tukio la harusi yao kwa kutumia nakshi za rangi nyekundu na nyeupe pamoja pia ikitumika jezi na bendera za klabu ya Manchester United katika Keki na mavazi ya harusi ambapo tukio lilionekana kama linahusisha watu  kutoka OLd Trafford kwa mashetani wekundu
Sponsors will be pleased: The Kenya couple had their cake decorated with red icing and a Chevrolet logo
Bibi harusi amevalia vazi la shela kama kawaida likipata nakshi ya kibanio cha rangi nyekundu lakini bwana harusi ameonyesha dhahiri mapenzi yake kwa United kwa kuvalia jezi yenye ujumbe wa kuelezea kuwa hilo lilikuwa ni tukio la Harusi
Keki imepambwa kwa Ice nyekundu ikiwa na nembo ya Chevrolet ambayo ni logo ya vifaa vya United msimu wa 2013-14.
Gari la maharusi aina ya Mercedes limeonekana likiwa na rangi za United licha ya rangi ya silver.
Driving pass: The wedding car looks like any other until you realise that the flowers are red and white
Hili ndilo gari la maharusi
Rear window: The back of the car was also draped in a large flag featuring United's club badge
Jionene mwenyewe bendera ya Manchester United

No comments:

Post a Comment