Pages

Monday, September 8, 2014

PICHA ZA MECHI YA SIMBA ILIPOCHEZA NA GOR MAHIA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.

Uniwezi...

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka Kennedy Opiyo.

Okwi akiambaa na mpira huku Kennedy Opiyo akimsindikiza kwa macho.

Okwi akiipangua ngoome ya Gor Mahia.

Beki wa Gor Mahia, Harun Shakana akijaribu kumzuia.

Okwi akimtoka Harun Shakana.

Okwi akimtoka beki wa Gor Mahia, Harun Shakana

Okwi akichuana na beki wa Gor Mahia, Harun Shakana

Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.

Kikosi cha Gor Mahia.

Kikosi cha Simba.

Golikipa wa Gor Mahia, Fredrick Onyango akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

Mashabiki wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.(Picha na Francis Dande)
You might also like

No comments:

Post a Comment