Pages

Tuesday, September 9, 2014

EURO 2016: SWITZERLAND 0 vs 2 ENGLAND, DANNY WELBECK AIPA USHINDI


Welcbec ndiye aliyeipatia Ushindi usiku huu wa bao 2-0 na bao zote mbili akizifunga mwenyewe dakika ya 59 kipindi cha kwanza na bao la pili alilifunga dakika za majeruhi kipindi cha pili kwenye dakika za nyongeza za dakika 90 dhidi ya Switzerland.Danny Welbeck amemrudisha Kocha wake Roy England akiwa anacheka baada ya kumpatia ushindi wa bao mbili (2-0).Danny Welbeck  akishangilia bao lake
Danny Welbeck  akipongezwa baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 59

Bao la Pili la England lilifungwa Dakika ya 90+4 tena na Danny Welbeck baada Rickie Lambert, alieingizwa kuchukua nafasi ya Rooney, kumpasia Sterling ambae alimsogezea Welbeck na kumalizia.
Mechi za Makundi EURO 2016 zinaendelea tena leo Jumanne Usiku.Mtanange ukiendelea...

Welbeck akishangilia baada ya kuwamaliza Switzerland kwenye  Euro 2016
Welbeck akipongezwa na Fabian Delph
Welbeck ndiye aliyewamaliza Switzerland

Sterling akikacha na mpira na kisha kutoa pande kwa Welbeck
RATIBA MECHI ZA LEO JUMANNE
Jumanne Septemba 9
19:00 Kazakhstan v Latvia [Kundi A]
19:00 Azerbaijan v Bulgaria [Kundi H]
21:45 Croatia v Malta [Kundi H]
21:45 Norway v Italy [Kundi H]
21:45 Czech Republic v Netherlands [Kundi A]
21:45 Iceland v Turkey [Kundi A]
21:45 Andorra v Wales [Kundi B]
21:45 Bosnia/Herzegovina v Cyprus [Kundi B]
21:45 Israel v Belgium [Kundi B]

No comments:

Post a Comment