Bao la pili kwa City lilifungwa na Edin Dzeko katika dakika ya 53.
Bao la tatu lilifungwa dakika ya 54 na Jesús Navas na la nne kufungwa kwa mkwaju wa penati na Yaya Touré katika dakika ya 60 na kufanya bao kuwa 4-0 dhidi ya Sheffield Wednesday.
Man City v Sheffield Wednesday
No comments:
Post a Comment