AS ROMA wakiwa kwao kucheza na CSKA Moscow kwenye hatua ya makundi Uefa Champions Ligi ndio walianza kuonesha nia na kiu kwa kuanza kupachika mabao, Wakiifunga bao 4-0 kipindi cha kwanza timu ya CSKA Moscow.
Kipindi cha pili dakika ya 51 baada ya patashika kutokea mchezaji wa CSKA Moscow Sergey Ignashevich alijifunga bao na kufanya bao kuwa 5-0.
Bao la CSKA Moscow lilifungwa na Ahmed Musa katika dakika ya 82 kipindi chaa pili na mtanange kumalizika AS Roma wakiwa na ushindi wa bao 5-1.
No comments:
Post a Comment