Pages

Saturday, August 23, 2014

WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIFANYA MAZOEZI DARAJANI STAMFORD BRIDGE TAYARI KWA KUIKARIBISHA LEICESTER LEO LIGI KUU ENGLAND.

Eden Hazards na Filipe Luis wakikabana leo kwenye mazoezi yao ya mwisho Stamford Bridge tayari kwa kuikaribisha timu iliyopanda Daraja msimu huu Leicester
Jon Obi Mikel na Mohamed Salah kwenye mazoezi leo huku Viongozi pamoja na Meneja Jose akiwaangalia..
Salah, Luiz na Hazard wakifanya mazoezi kwenye uwanja wao wa Nyumbani Stamford Bridge

Diego Costa, Nathan Ake, Oscar na Mikel
Kocha Jose Mourinho akizungumza na Waandishi wa habari na akisema kuwa tayari wapo tayari na wako fiti kuikabiri Leicester.

No comments:

Post a Comment