Marco Rojo kujiunga na United? |
Manchester United ina imani ya kufanikisha usajili wa Marcos Rojo kufuatia klabu yake ya Sporting
Lisbon kuambiwa kuwa wanapaswa kumuuza mlinzi huyu ama klabu hiyo kukumbana na faini.
United
hapo jana ilitangaza kuweka mezani pauni milioni 15.9 kwa ajili ya Rojo
ofa ambayo imechagizwa na vita ya kutaka kuondoka kwake Lisbon.
No comments:
Post a Comment