Pages

Wednesday, August 6, 2014

Jack Rodwell ajiunga na Sundeland


Jack Rodwell anataka kucheza timu ya taifa ya baada ya kujiunga na Sunderland
Sunderland imekamilisha usajili wa Jack Rodwell usajili ambao umehitimisha utumishi wake ndani ya Manchester City ambapo sasa atakuwa na nafasi nzuri ya kupigania kurejea katika kikosi cha timu ya taifa England.
Kiungo huyo anataka kurejesha uwezo wake katika uchezaji wa soka ambao ulififizwa na Man City hususani baada ya majeraha ya msuli.
Rodwell akiwa katika picha ndani ya Sunderland's Academy of Light baada ya kujisajili na klabu hiyo

Rodwell mwenye umri wa miaka 23,ameichezea City michezo 27 tangu ajiunge nayo akitokea Everton kwa uhamisho uliogharimu pauni milioni £12 mwaka 2012. Gus Poyet ana matumaini kuwa ana weza kuisaidia kikosi chake

No comments:

Post a Comment