Pages

Monday, July 28, 2014

NEYMAR HUJAMBO? UNAENDELEAJE NA MAUMIVU YA MGONGO? HALI YAKE KWASASA IKO HIVI.


Hali ya Jeraha la mshambuliaji wa Barcelona Neymar kufuatia kugongwa kwa nyuma wakati wa fainali ya kombe la dunia na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa mgongo sasa anaendelea vizuri ambapo amenza kula bata taratibu kwa kutoka na mpenzi wake Bruna Marquezine fukweni nchini Hispania.
Wapenzi hao wamekuwa wakivinjari fukweni Formantera ambapo Neymar amekamilikisha siku za kuendelea kutembea na kitu kilichokuwa kinampa msaada wa mgongo (yaani Back-Support).
Neymar hakucheza michezo miwili ya mwisho ya timu yake ya taifa katika michuano ya kombe la dunia kufuatia kupata kuumia vibaya mgongoni katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Colombia.
Chilling out: Neymar his girlfriend Bruna Marquezine and a group on a boat
Wakiwa wanabadilishana mawazo akiwa na washikaji zake. Neymar pamoja na Bruna Marquezine kwenye kiboti ambapo Neymar amevalia Back-Support
Holidays: The couple are currently on a break in Formentera, Spain
Holidays: Wapenzi wakiwa mapumzikono Formentera, nchini Hispania
Popular: Neymar stopped by fans on the beach after pictures
Umaarufu ni shidaa: Neymar akisimamishwa na mashabiki ufukweni kwa lengo la kupata picha kwa pamoja


Neymar anatarajiwa kuungana na mshambuliaji mpya wa Barcelona Luis Suarez huku vyombo vya habari nchini Hispania vikiandika sana kuwa kwa pamoja watatengeneza partnership kwa kushirikiana na Lionel Messi.
Neymar alijiunga na Barcelona kiangazi iliyopita ambapo ameifungia magoli tisa katika jumla ya michezo 26 aliyoichezea klabu hiyo katika ligi.

Snapped: Fans stop to take pics of the superstar as he walks past
Boating: Neymar and Co go for a sail
At sea: The couple head out to water
Disembarking: Neymar climbing out of the boat
Neymar akijitahidi kutoka kwenye kiboti cha kukodi.

No comments:

Post a Comment