Pages

Wednesday, July 30, 2014

MANCHESTER UNITED NA INTER MILAN ZASHINDWA KUTAMBIANA ZAMALIZA UBISHI KWA PENATI ( 5-3 PENATI) UNITED WAPETA



Shinji Kagawa, Darren Fletcher na Tom Cleverley, Wakipongezana baada ya kuifunga timu ya Inter Milan bao  5-3 usiku wa kuamkia leo.
Timu ya Manchester United iliendeleza Wimbi la Ushindi baada ya Kuifunga Timu ya Inter Milan kwa Mikwaju ya Penati 5-3. Ikiwa ni baada ya kutoshana nguvu katika dakika 90 za mchezo huo. Ushindi huu si United kuwa Kileleni tu kwenye kundi lake pia hawajapoteza mchezo hata mmoja. Kocha Mpya wa Man United pia aliendeleza mfumo Mpya wa 3-5-2 dhidi ya Inter.

 Fletcher  na kipa David De Gea wakifurahia ushindi wa Mikwaju ya penati

Furaha kwa  Louis van Gaal na msaidizi wake  Ryan Giggs

Fletcher akikumbatiana na  Michael Keane baada ya kushinda kwa Mikwaju ya penati usiku

 Marco Andreolli akipagawa baada ya kushindwa penati

 Ander Herrera akitupia..
VIKOSI:
Manchester United first half: Lindegaard, Smalling, Jones, Evans, Valencia, Fletcher, Herrera, Young, Mata, Rooney, Welbeck
Second half: De Gea; M Keane, Evans, Blackett; Young, Cleverley, Fletcher, Kagawa, Shaw; Zaha, Nani (Hernandez 77)
Substitutes not used: Lingard
Booked: Valencia
Inter Milan: Handanovic (Carrizo 63), Ranocchia, Vidic (Andreolli 72), Juan Jesus, D'Ambrosio, Jonathan, Kuzmanovic (Laxalt 63), Krhin (M'Vila 46), Dodo (Nagatomo 63), Botta (Taider 63), Icardi
Substitutes not used: Schelotto, Guarin, Obi, Mbaye, Silvestre, Puscas, Berni, Bonazzoli
Booked: Andreolli
Attendance: 61, 238

Ashley Young akipata mpira wa kichwa mbele ya  Danilo D'Ambrosio

Chris Smalling akichuana vikali na mchezaji wa  Inter Milani  Mauro Icardi

Mauro Icardi na  Ander Herrera wote walipelekeshana chini

Juan Mata akijaribu kumtoka  Juan Jesus wa Inter Milan

 Ander Herrera akizuia mpira dhidi ya Mchezaji wa  Inter  Dodo

Wayne Rooney akimtoka Mchezaji wa Inter milan Jonathan usiku huu wakati wa Mtanange wa Kirafiki
 Ashley Young akijaribu kuachia shuti kuona kama atafunga kwenye Uwanja wa  FedEx Field

MIKWAJU YA PENATI ILIVYOPIGWA
Young (Man United) - SCORED 1-0
Guarin (Inter) - SCORED 1-1
Hernandez (Man United) - SCORED 2-1
M'Vila (Inter) - SCORED 2-2
Cleverley (Man United) - SCORED 3-2
Taider (Inter) - SCORED 3-3
kagawa (Man United) - SCORED 4-3
Andreolli (Inter) - MISSED 4-3
Fletcher (Man United) - SCORED 5-3

No comments:

Post a Comment