Pages

Wednesday, July 16, 2014

LIVERPOOL WAMSAINI LAZAR MARKOVIC KUTOKA BENFICA



Liverpool watatangaza kumsaini Fowadi wa Serbia, Lazar Markovic, kutoka Benfica.
Klabu hiyo ya Ureno imeshathibitisha kumuuza Fowadi huyo kwa Dau la Euro Milioni 12.5 baada ya kutoa tamko kwenye Soko la Hisa la Ureno kama Sheria zao zinavyotaka.
Markovic anakuwa Mchezaji wa 4 kusainiwa na Liverpool katika kipindi hiki na wengine ni Rickie Lambert, Adam Lallana na Emre Can.

Lakini Liverpool imempoteza Mfungaji wao bora, Luis Suarez, ambae amehamia Barcelona.

No comments:

Post a Comment