Pages

Wednesday, July 23, 2014

James Rodriguez atambulishwa rasmi Santiago Bernabeu, akabidhiwa jezi yenye majukumu mazito


James Rodriguez ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Real Madrid huko Santiago Bernabeu. Gareth Bale ana thamani ya pauni milioni 80, Cristiano Ronaldo pauni milioni 80, Luis Suarez milioni 75 ambao hao ni zaidi ya Rodriguez aliyenunuliwa kwa pauni milioni 60.
Real Madrid pia wana Tony Kross mwenye thamani ya kununuliwa kwa pauni milioni 24 na Karim Benzema aliyenunuliwa kwa pauni milioni 30. Jumla ni pauni milioni 274
Taking it down: Rodriguez wore some pink and blue boots during his unveiling
Rodriguez akiwa katika jezi ya Madrid na viatu vya rangi za buluu na pinki wakati wa utambulisho wake Bernabeu.
Price tag: Rodriguez becomes the fourth most expensive signing in history after completing a £60million move from Monaco
Rodriguez anakuwa mchezaji nambari nne kwa thamani ya juu duniani nyuma ya akina Garreth Bale, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez kufuatia kukamilisha uhamisho wa ada pauni milioni £60 akitokea Monaco
Wave: Rodriguez acknowledges the crowd as he arrives for his presentation at the Bernebau
Rodriguez akiwapa hi umati wakati akiwasili kwa ajili ya utambulisho wake Bernebau
Unveiled: Real Madrid president Florentino Perez (left) presents Rodriguez (right) at the Bernabeu
Rais wa Real Madrid Florentino Perez (kushoto) akimtambulisha Rodriguez (kulia) kiungani Bernabeu
Love? Rodriguez kisses the badge on the Real Madrid kit during his presentation at the Bernabeu
Rodriguez kionyesha mapenzi mapya kwa kubusu jezi ya Real Madrid wakati wa utambulisho wakeBernabeu
Squad number: Rodriguez will wear the '10' jersey at Madrid next seasonRodriguez atakuwa akivalia jezi ya majukumu mazito nambari 10 mgongoni msimu ujao ndani ya Madrid

No comments:

Post a Comment