Pages

Thursday, July 17, 2014

Hatimaye Louis Van Gaal atambulishwa kwa wakuu wa Old Trafford ndani ya viunga vya Carrington


Van Gaal (Katikati) akikutana na meneja msaidizi Ryan Giggs (kushoto) na makamu mwenyekiti mtendaji Ed Woodward

Meneja mpya wa Manchester United manager Louis van Gaal amewasili uwanja wa mazoezi ya Manchester United Carrington hii leo kuanza kazi ya ukocha.
Mduchi huyo alionekana kukwepa kamera za waandishi wa habari wakati akiingia klabu hapo lakini akaonekana kupitia ukurasa rasmi wa twitter akiwa pamoja na kocha msaidizi wake Ryan Giggs akiwa sambamba na makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward.
Underway: The Dutchman has returned from Brazil after leading Holland to a third-place finish
Kocha mdushi Van Gaal amerejea akitokea kazini katika kombe la dunia ambako alikuwa akiiongoza Uholanzi ambayo ilifikia hatua ya nusu ya fainali ya kombe la dunia kabla ya kumaliza katika nafasi ya tatu baada kuichapa Brazil
Discussions: Giggs, Van Gaal and Clive Woodward have work to do to return United regular success
Majadiliano:Giggs, Van Gaal NA Clive Woodward.

Pairing: United will embark on a US tour in the coming days, and Giggs is happy with training so far
United itakuwa ikielekea Marekani siku zijazo na Giggs ana furahia mazoezi mpaka sasaOn form: Van Gaal has returned back from Braizl after guiding Holland to a third-place World Cup finish
Return to the top four? United finished seventh last term, and missed out on Champions League football

Wakati anawasili mwezi May, Van Gaal alikaririwa akisema 
'Hii klabu ina matarajio makubwa, na mimi pia nina matarajio makubwa. Kwa pamoja nina amini tutatengeneza historia.
'Kufanya kazi kama meneja katika klabu ya Manchester United, klabu kubwa duniani, kunanifanya nijisikie ni mwenye fahari'.


Arrival: Van Gaal touched down at Manchester Airport in a private jet on Wednesday afternoon
Louis Van Gaal akitua uwanja wa ndege wa Manchester kwa ndege binafsi mchana wa leo



United imekuwa ikihusishwa na mpango wa kumsajili kiungo wa Juventus Arturo Vidal, nyota wa kimataifa wa Chile, na tetezi zinazidi kuongezekana kufuatia kuondoka kwa meneja Antonio Conte katika klabu hiyo ya Juve.

No comments:

Post a Comment