Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, July 9, 2014

CHEKI MASHABIKI WA UJERUMANI WAKICHEKA HUKU WENZAO WAKILIA


Haooo haoooo wameinama wameinuka wanaona haya haooooo hahahhhahahahahahaaaaaa

Nahama nchi mimi kuanzia leo nahamiaa Tanzania  hiiiiiiii!

Da! bora yesheeee
Pambavu zao

Aaaaa hiiiii hivi kwanini jamaniii

Hapa ndo kwanza ubao unasomeka 4-0 tumeikata nusu idadi
Agraaaaaaaaaaaaaaaaa
Mama siangaliiii tena tuondoke

Zaidi ya maumivu

Mkono shavuni na jezi nitavua

Da! hivi kweli ndo sisi

No comments:

Post a Comment