Pages

Tuesday, July 29, 2014

Barcelona iko England, Dani Alves bado ana kula raha Miami hatma yake ni nini ndani ya Catalunya?


Wakati Barcelona ikijiandaa kwa ajili ya msimu mpya na wakitarajia kucheza mchezo dhidi ya Nice mwishoni mwa wiki, mlinzi wa kushoto Dani Alves ameonekana akiota la ufukwe huko Marekani.
Mlinzi huyo wa kushoto wa Barcelona na Brazil amekuwa akifurahua ufukwe wa Miami na anatarajiwa kuchelewa kidogo kwenye mazoezi ya kuanza msimu baada ya kombe la dunia kumalizika.
Kumekuwepo na tetesi juu ya kuondoka kwa mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 31 kiungani Catalanya licha ya mwenye kutanabaisha kuwa atacheza tena katika klabu yake ya Barcelona msimu ujao.

Sun: The 31-year-old soaked up the sun in Florida while his Barcelona team mates trained in England
Utamu wa jua: Mlinzi wa kushoto Alves yuko Florida akila raha wakati kikosi cha Barcelona kikiwa mazoezini England
Brazil: The defender actually lost his place in the national side to Maicon towards the end of the World Cup
Brazil: Alves hakupata nafasi ya kuendelea na michezo miwili ya mwisho ya kombe la dunia ambapo nafasi yake ilichukuliwa na Maicon
Beach bum: The defender's future is still undecided but he has said he would like to stay if possible
Alves amekuwa katika tetesi za kuondoka Katalunya lakini mwenye anasema angependa kusalia hapo kama itawezekana.
Competition: Martin Montoya is likely to be the Brazilian's main competition for a starting place at Barcelona

No comments:

Post a Comment