Mario Balotelli aliruka juu na kutupia bao kwa kichwa na kufanya 2-1 dhidi ya England, Bao lililotosha kuwapatia alama muhimu Italy mpaka dakika ya mwisho wa mpira wa dakika 90.Mwisho wa kazi!!! 2-1
Kipa Hart hakuona ndani!
Mario Balotelli akishangilia bao lake la ushindi
Meneja Roy Hodgson kwake yeye aliona muda unakwenda haraka
Majanga!! kufungwa kubaya..
Balotelli akitupia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya England kipindi cha pili dakika ya 50Dakika ya 50 kipindi cha pili Mario Balotelli aliifungia bao la pili kwa kufanya 2-1 dhidi ya England baada ya kupokea Krosi ya Antonio Candreva kwa kichwa na kufunga bao hilo.
Daniel Sturridge akifurahia baada ya kusawazisha bao kwa kufanya 1-1
Sturridge akiusindikiza nyavuni mpira uliopigwa na Wayne Rooney
Kitu 1-1, Daniel akishangilia....
Gary Lewin akitolewa uwanjani baada ya kupatwa na sintofahamu
Mashabiki wa England walijitokeza kwa Wingi
Mashabiki wa England kwa raha zao
Patashika za Mashabiki wa England
Raha ya Mpira ni mashabiki bwana!! Cheki Mashabiki wa England..
Welbeck akiendesha...
Muda mfupi Daniel Sturridge dakika ya 37 kipindi cha kwanza akaisawazishia bao kwa kufanya 1-1Dakika ya 35 kipindi cha kwanza mchezaji wa Italy Claudio Marchisio anawapachikia bao Italy na kufanya 1-0 baada ya kupewa pasi na Marco Verratti na baada ya muda mfupi tu wa dakika 2 dakika ya 37 Daniel Sturridge akaisawazishia bao na kufanya 1-1 akipata krosi safi kama kona na Wayne Rooney.Mchumba wa Balotelli nae ndani!
Mashabiki wa England wakishangilia timu yao usiku huu
Chupuchupu kwa kipa wa Italy Salvatore Sirigu
Gabriel Paletta na Raheem Sterling wakiviziana kutoa mpira
Taswira ya mtanange na uwanja ulivyo...
Kipute kikaanze!!
Twende kazi!!!
Kikosi cha England
Mashabiki
mashabiki wa England wakitokelezea...
Mashabiki wa Italy
Hakunaga!!!
Taswira mtanange kuanza kati ya England v Italy
Taswira mtanange kuanza kati ya England v Italy
VIKOSI:
England: Hart, Johnson, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard, Henderson, Sterling, Rooney, Welbeck, Sturridge.
England: Hart, Johnson, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard, Henderson, Sterling, Rooney, Welbeck, Sturridge.
Subs: Foster, Wilshere, Lampard, Smalling, Oxlade-Chamberlain, Jones, Milner, Lambert, Lallana, Barkley, Shaw, Forster.
Italy: Sirigu, Darmian, Paletta, Barzagli, Chiellini, Verratti, Pirlo, De Rossi, Candreva, Balotelli, Marchisio.
Subs: Buffon, De Sciglio, Thiago Motta, Abate, Cassano, Cerci, Aquilani, Immobile, Parolo, Bonucci, Insigne, Perin.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
No comments:
Post a Comment