Pages

Wednesday, June 25, 2014

WORD CUP: COSTA RICA 0 vs ENGLAND 0, ENGLAND WAAGA MASHINDANO YA DUNIA KWA SARE!


England wameiaga Brazil rasmi baada ya kutoshinda hata Mechi moja ya Fainali za Kombe la Dunia kwa kumaliza Mechi zao za Kundi D kwa kutoka Sare 0-0 na Costa Rica ambao kabla ya Mechi hii walikuwa tayari wameshatinga Raundi ya Pili ya Mtoano.Toka Kundi D, Costa Rica na Uruguay zimesonga Raundi ya Pili ya Mtoano na Italy na England kutupwa nje.
Kocha Roy Hodgson Leo hii aliipangua Timu yake na kuwapa nafasi Wachezaji wengi ambao hawakucheza Mechi mbili za kwanza walizofungwa na Italy 2-1 na Uruguay 2-1.
VIKOSI:
Costa Rica: Navas, Gamboa, Duarte, Gonzalez, Miller, Diaz, Ruiz, Borges, Tejeda, Brenes, Campbell.
Subs: Pemberton, Acosta, Umana, Bolanos, Myrie, Barrantes, Francis, Granados, Calvo,
Urena, Cubero, Cambronero.

England: Foster, Jones, Smalling, Cahill, Shaw, Lampard, Wilshere, Milner, Barkley, Lallana, Sturridge.
Subs: Hart, Johnson, Gerrard, Jagielka, Rooney, Welbeck, Henderson, Lambert,
Sterling, Baines, Oxlade-Chamberlain, Forster.
Referee: Djamel Haimoudi (Algeria)

No comments:

Post a Comment