Pages

Wednesday, June 25, 2014

FIFA KUWACHUNGUZA MASHABIKI HAWA WA UJERUMANI KWA VITENDO VYA UBAGUZI


Shirikisho la Soka Duniani FIFA linawachunguza mashabiki wa Ujerumani waliopigwa picha wakiwa wamejipaka rangi nyeusi mwilini wakati wa mchezo wa Kombe la Dunia baina ya Ujerumani na Ghana.

You might also like:

No comments:

Post a Comment