Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera akipokea Katiba Meza kuu
Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera akifungua ndani kutoa Katiba hiyo ya Bukoba Veteran na (Kulia) ni Kiongozi Mwenyekiti wa Bukoba Veteran Bw. Ernest Nyambo.
Katiba...Ambayo itawaongoza Katiba hii hapa........Makofi!!!Wana Veteran wakisikiliza neno kwa makini leo mchana kwenye Ukumbi wa Lina's Nigh Club.
Wana Bukoba Veteran wakiwa kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club leo
kulia ni Bw. Jamco, a.k.a Jamal Kalumuna akikamatilia Climax..
Super Mkude!! na Leo leo wote ndani wakikandamiza Kinywaji kisichokuwa na kilevi ClimaxChini ya Uzamini wa Kinywaji maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha. Kutoka Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits.
(Kushoto) ni Fr. Vitus Mrosso, Afisa Utamaduni Bw. Rugeiyamu, Fr. Gerard Rugumila, na Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera wakiwa meza kuu.
Wanachama wa Bukoba Veteran kwa furaha wakisikiliza neno kutoka meza kuuKiongozi wa Soka Tanzania Ngazi ya TFF Jumanne Chama Umande nae alikuwepo na hapa alikuwa akitoa neno kiujumla kuhusu mpira na Katiba hiyo ya Klabu ya Bukoba Veteran.Afisa Utamaduni Manispaa Bukoba Bw. Rugeiyamu akitoa neno.Fr.Vitus Mrosso akisifia kinywaji cha Climax na akiwashauri wana Veteran kukitumia kwa wingi kwani hakina kilevi na yeye ndicho anachotumia kwa sasa, kwani ni Herbal Energy drinkBw. Ernest Nyambo Mwenekiti wa Bukoba Veteran (kulia) akitoa neno
Mh. Matete Mwana Bukoba Veteran akitoa neno, Ambapo wao ndio waliofanikisha kwa asilimia kubwa kwa Katiba hiyo kupatikana.Dada mpambanaji wa Bukoba Veteran Bi. Redempta Mwebesa nae akitoa neno
Timu ya Mainz 05 ya Ujeruman sasa ni Marafiki zao Bukoba Veteran, Hapa ni Fr. Gerard Rugumila (kushoto) akitoa jezi hizo kutoka Nchini Ujerumani, Zikiwa ni kutoka kwa Timu ya Mainz 05 ilianza mwaka 1905 huko Ujerumani na iko Ligi kuu kwa Muda mrefu sasa, Kupitia kwa rafiki yake Willy Kiroyera Fr. Gerard Rugumila amewapatia Bukuoba Veterans Jezi 22 leo kwenye kwenye sherehe hiyo ambayo iliambatana na kupata KATIBA mpya ya Klabu hiyo ambayo ilidhaminiwa na Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits kupitia kinywaji chake maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha.
Kiongozi Bw. Mkude akipokea jezi
Ndg. Mwinyi akipokea jezi kwa niaba ya Bukoba Veteran
Fr. Gerard Rugumila akitoa neno baada ya kukabidhi jezi hizoBw. Sunday (kulia) akipitia kwa makini kuuona huo Uzi kutoka UjerumaniMkurugenzi na katibu wake.Fr. Vitus Mrosso (kulia) na Bw. Willy O. Ruta wakisikiliza neno kuhusu Katiba hiyo
Wana Bukoba Veteran wakiyarudi mangoma huku wakifurahia kupata Katiba hii leo katika Ukumbi wa Lina's Night Club uliopo Bukoba Mjini.Burudani kutoka kwa Mwanachama wa Bukoba Veteran
Makofi kutoka kwa Kaka Mkuu Ernest (Mwenyekiti wa Veteran)...Mgeni rasmi ndio uchicheme!!!
Kaka Mkuu Ernest Nyambo alishindwa kujizuia...aliingia!!!
Unauliza Burudani kwa Bukoba Veteran....
Burudani ni sehemu ya maisha!!
Hakika ilikuwa ni burudani ya nguvu
Ngoja ni wa tuze!!! Akaingia Chui!!!Ilikuwa ni sebene la Nguvu!!! Ambalo kila mtu aliyekuwa mahala pale aliselebuka!
Mr. Andrew Kagya akimwakilisha Bw. Rahim Abdul Rahim Kabyemela ambaye ndie Balozi na msambazaji wa Vivywaji hivyo vinavyopendwa hapa Kagera kutoka Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits kupitia kinywaji chake maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha. Ambao ndio wadhamini wakuuMgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera akiongelea Katiba hiyo.Kwa makini wakisikiliza swala zima la Katiba..
Katiba...tunataka!!!
Wanachama wa Bukoba Veteran wakifualia kwa makini mkubwa.
Willy Kiroyera nae alipata nafasi ya kuchomeka neno..Picha ya pamoja ilipigwa
Mc Jerry akiwa na vijana wa Soka wakiwa wanakunywa Climax
Captain Mwinyi akimkabidhi Fr. Gerard nae Jezi ya Bukoba Veteran
Karibu Bukoba, Karibu Bukoba Veteran, umetupa zawadi na sisi tunakuzawadia hii
Fr. Gerard akiwa ndani ya uzi wa Veteran
Mr. Andrew Kagya (kushoto) na (kulia) ni Bw. Rahim Abdul Rahim Kabyemela ambaye ndie Balozi na msambazaji wa Vivywaji hivyo vinavyopendwa hapa Kagera kutoka Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits kupitia kinywaji chake maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha. Wakiwa Ukumbini Lina's kufualitilia swala zima la Katiba na kutangaza zaidi kinywaji hicho kinachokuja kwa kasi.
Wana Bukoba Veteran wakifurahia kwa pamoja baada ya kupata Katiba ambayo itawaongoza kiujumla
Kila mmoja anatakiwa kupitia Katiba hii, ikiwa yeye ni Mwanachama wa Bukoba Veteran.
Kulia ni Mr. Ernest Nyambo akifurahia nae baada ya kupata Katiba leo ya Klabu ya Bukoba Veteran
Katiba ikiwa ni mwongozo mzima wa Mwanachama, kusajiliwa uanachama, kujiuzulu, kusimamishwa na kufukuzwa uanachama, kurudishiwa uanachama...vyote hivi vipo ndani ya Katiba.
Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera (kulia) akipata huduma ya chakula cha mchana.
Fr.Vitus Mrosso (kulia) akipata huduma ya chakula
Mgeni Kutoka Ujerumani Fr. Gerard Rugumila akiopata chakula cha nyumbani Bukoba, Ndizi ambaye pia swala zima la jezi za Mainz 05 kazileta yeye hapa Bukoba.
Afisa Utamaduni Bw. Rugeiyamu alikapa nae chakula
Bw. Willy Kiroyera (kulia) akicheki na camera akiwa tayari kwa kupata msosi wa mchana
Willy Kiroyera(kushoto) akiteta jambo na Viongozi hapa wakati wanapata chakula cha mchana kwenye Uzinduzi huo wa kupata Katiba na kukabidhiwa jezi.
Fr.Gerard Rugumila kutoka Ujerumani akiombwa namba ya simu kabla ya kuondoka
Marafiki: Willy Kiroyera na Fr. Gerard Rugumila wakiondoka kwenye Ukumbi wa Lina's
Kwenye picha ya pamoja
Wana Bukoba Veteran
Pamoja sana....

No comments:
Post a Comment