BUKOBA VETERAN WAFANYA TUKIO LA KIHISTORIA BUKOBA LEO, WAZINDUA KATIBA YAO NA KUPOKEA ZAWADI YA JEZI KUTOKA NCHINI UJERUMANI. CHINI YA UDHAMINI WA KINYWAJI MARIDADI CLIMAX.
Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera akipokea Katiba Meza kuu
Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera akifungua ndani kutoa Katiba hiyo ya Bukoba Veteran na (Kulia) ni Kiongozi Mwenyekiti wa Bukoba Veteran Bw. Ernest Nyambo.
Katiba...Ambayo itawaongoza
Wana Veteran wakisikiliza neno kwa makini leo mchana kwenye Ukumbi wa Lina's Nigh Club.Wana Bukoba Veteran wakiwa kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club leo
kulia ni Bw. Jamco, a.k.a Jamal Kalumuna akikamatilia Climax..
Chini ya Uzamini wa Kinywaji maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha. Kutoka Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits.
(Kushoto) ni Fr. Vitus Mrosso, Afisa Utamaduni Bw. Rugeiyamu, Fr. Gerard Rugumila, na Mgeni Rasmi Bi. Sakina Sinda wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoa wa Kagera wakiwa meza kuu.
Wanachama wa Bukoba Veteran kwa furaha wakisikiliza neno kutoka meza kuu
Afisa Utamaduni Manispaa Bukoba Bw. Rugeiyamu akitoa neno.
Mh. Matete Mwana Bukoba Veteran akitoa neno, Ambapo wao ndio waliofanikisha kwa asilimia kubwa kwa Katiba hiyo kupatikana.
Dada mpambanaji wa Bukoba Veteran Bi. Redempta Mwebesa nae akitoa neno Timu ya Mainz 05 ya Ujeruman sasa ni Marafiki zao Bukoba Veteran, Hapa ni Fr. Gerard Rugumila (kushoto) akitoa jezi hizo kutoka Nchini Ujerumani, Zikiwa ni kutoka kwa Timu ya Mainz 05 ilianza mwaka 1905 huko Ujerumani na iko Ligi kuu kwa Muda mrefu sasa, Kupitia kwa rafiki yake Willy Kiroyera Fr. Gerard Rugumila amewapatia Bukuoba Veterans Jezi 22 leo kwenye kwenye sherehe hiyo ambayo iliambatana na kupata KATIBA mpya ya Klabu hiyo ambayo ilidhaminiwa na Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits kupitia kinywaji chake maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha.
Mkurugenzi na katibu wake.
Wana Bukoba Veteran wakiyarudi mangoma huku wakifurahia kupata Katiba hii leo katika Ukumbi wa Lina's Night Club uliopo Bukoba Mjini.Makofi kutoka kwa Kaka Mkuu Ernest (Mwenyekiti wa Veteran)...Mgeni rasmi ndio uchicheme!!!
Kaka Mkuu Ernest Nyambo alishindwa kujizuia...aliingia!!!
Unauliza Burudani kwa Bukoba Veteran....
Burudani ni sehemu ya maisha!!
Hakika ilikuwa ni burudani ya nguvu
Mr. Andrew Kagya akimwakilisha Bw. Rahim Abdul Rahim Kabyemela ambaye ndie Balozi na msambazaji wa Vivywaji hivyo vinavyopendwa hapa Kagera kutoka Kampuni ya Mabibo beer wines and spirits kupitia kinywaji chake maridadi kisicho na kilevi cha Climax. Kinywaji cha wanaojipenda na kuthamini Maisha. Ambao ndio wadhamini wakuuKatiba...tunataka!!!
Wanachama wa Bukoba Veteran wakifualia kwa makini mkubwa.
Willy Kiroyera nae alipata nafasi ya kuchomeka neno..Picha ya pamoja ilipigwa

Wana Bukoba Veteran wakifurahia kwa pamoja baada ya kupata Katiba ambayo itawaongoza kiujumla
Kila mmoja anatakiwa kupitia Katiba hii, ikiwa yeye ni Mwanachama wa Bukoba Veteran.
Kulia ni Mr. Ernest Nyambo akifurahia nae baada ya kupata Katiba leo ya Klabu ya Bukoba Veteran
Katiba ikiwa ni mwongozo mzima wa Mwanachama, kusajiliwa uanachama, kujiuzulu, kusimamishwa na kufukuzwa uanachama, kurudishiwa uanachama...vyote hivi vipo ndani ya Katiba.Mgeni Kutoka Ujerumani Fr. Gerard Rugumila akiopata chakula cha nyumbani Bukoba, Ndizi ambaye pia swala zima la jezi za Mainz 05 kazileta yeye hapa Bukoba.
Post a Comment