Wachezaji wa Man wakimzunguka Roooney kwa kumpongeza baada ya kufunga bao la kiwango na la mbali kama yadi 57 katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.Hadi mapumziko timu ya Manchester United ndio imeenda ikiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya wenyeji West Ham United. Bao zote mbili zikifungwa na Straika Wayne Rooney katika dakika ya 7 na dakika ya 33.Bao la kwanza likiwa ni la kiwango kwani ni la zaidi ya yard 50 baada ya kupata mpira kutoka kwa Ashley Young.
Kipindi cha pili hakuna timu iliyoweza kumfunga mwenzake, United wamebaki na bao hizo hizo walizozifunga kipindi cha kwanza kupitia Straika wao Rooney.Kipa wa West Ham United hakuona ndani...Kocha Davi Moyes...akilikubali bao hiloFellaini akiendesha.......Wayne Rooney akishangilia bao lake2-0Asante Baba!!!Jones kwenye patashika na Andy Carroll
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO
Jumamosi Machi 22
Chelsea 6 v Arsenal 0
Cardiff 3 v Liverpool 6
Everton 3 v Swansea 2
Hull City 2 v West Brom 0
Man City 5 v Fulham 0
Newcastle 1 v Crystal Palace 0
Norwich 2 v Sunderland 0
West Ham 0 v Man United 2

No comments:
Post a Comment