LEO Jumanne Usiku saa 4:45
macho na masikio yatakuwa Uwanjani Old Trafford kushuhudia Dabi ya
Manchester kati ya Mahasimu wawili, Mabingwa Watetezi Manchester United
na Mabingwa Watarajiwa Manchester City wakicheza Mechi ya Ligi Kuu
England. Kocha wa Man United, David Moyes
City wanatinga kwenye Mechi hii wakiwa wapo kwenye mbio za kusaka Ubingwa, pamoja na Vinara Chelsea, Liverpool na Arsenal, wakati Man United, wakiwa tayari hawana matumaini ya kutetea Ubingwa wao, bado wapo kwenye matumaini hafifu ya kumaliza ndani ya 4 Bora.
Kwa kuwa Van Persie atakuwa nje baada ya kuumia kwenye mechi ya Uefa Olympiacos, United watamtehegea Straika wao Wayne Rooney usiku huu mwenye miaka 28, alifunga Bao zote 2 Jumamosi walipoichapa West Ham Bao 2-0 huko Upton Park na Bao lake la Kwanza, bila shaka, litakuwa moja ya Goli Bora la Msimu.
Bao hizo mbili zimemfanya Rooney afikishe Jumla ya Bao 212 akiwa na Man United na kushika Nafasi ya 3 katika Ufungaji Bora wa Kihistoria kwenye Klabu hiyo akiwa nyuma ya Denis Law kwa Bao 25 na Mfungaji Bora, Sir Bobby Charlton, kwa Bao 37.KWA UNITED:
Winger Antonio Valencia (aliyeumia jicho mechi iliyopita na mashaka nae) difenda Nemanja Vidic ana kadi nyekundu na straika Robin van Persie atakuwa nje kwa majeraha ya goti.
KWA MAN CITY:
Vincent Kompany anarudi na wenda akaanza kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester City, Old Trafford usiku huu.
Nje ni Sergio Aguero na Matija Nastasic mwenye matatizo ya goti pia.
RATIBA
Jumanne Machi 25
22:45 Arsenal v Swansea
22:45 Man Utd v Man City
22:45 Newcastle v Everton
Jumatano Machi 26
22:45 West Ham v Hull
23:00 Liverpool v Sunderland
Jumamosi Machi 29
15:45 Man Utd v Aston Villa
18:00 Crystal Palace v Chelsea
18:00 Southampton v Newcastle
18:00 Stoke v Hull
18:00 Swansea v Norwich
18:00 West Brom v Cardiff
20:30 Arsenal v Man City
Jumapili Machi 30
15:30 Fulham v Everton
18:00 Liverpool v Tottenham
Jumatatu Machi 31
22:00 Sunderland v West Ham

No comments:
Post a Comment