Luis Suarez ameifikia Rekodi ya Robbie Fowler ya Bao 28 katika Msimu mmoja wa Liverpool baada Leo kufunga Hetitriki wakati Liverpool ikiichapa Cardiff City Bao 6-3.
Mara mbili Cardiff walioongoza Mechi hii kwa Bao za Jordan Mutch na Fraizer Campbell na Liverpool kusawazisha.
Cardiff City ndio walianza kufunga bao kupitia mchezaji wake Jordon Mutch dakika ya 9 na Liverpool wakasawazisha katika dakika ya 16 kupitia Luis Suárez kwa kufanya 1-1 na dakika ya 25 mchezaji wa Zamani wa Man United
Fraizer Campbell akawasawazishia bao baada ya kuwakaanga mabeki wa Liverpool. Kwa sasa kipindi cha kwanza 2-1.
Dakika ya 41 Martin Skrtel akaisawazishia bao na kufanya 2-2 na mpira kuwenda mapumziko zikiwa timu zote kizikwa sare ya 2-2.
Kipindi cha pili dakika 54 Martin Skrte anaipatia bao la tatu Liverpool kwa kichwa safi baada ya mpira kupigwa krosi na Philippe. Bao la nne limefungwa na Luis Suarez dakika ya 60 baada ya kupata pasi ya kisigino kutoka kwa Sturridge ndani ya box. 4-2 dhidi ya wenyeji Cardiff City.
Dakika ya 75 kipindi cha pili Luis Suarez ametoa pande kwa Daniel Sturridge na kufunga bao hilo na kufanya 5-2.
Bao la mwisho limefungwa na Suarez katika dakika za majeruhi na akitimiza bao tatu zake (Hat-trick).
VIKOSI:
Cardiff: Marshall 6, Theophile-Catherine 6, Caulker 6, Cala 5, John 6 (Daehli 65mins 5), Da Silva 4, Medel 6, Kim 5 (Zaha 65mins 5), Bellamy 6 (Jones 70mins 4), Mutch 7, Campbell 7
Subs not used: Turner, Whittingham, Gunnarsson, Lewis.
Booked: Cala, Fabio.
Goals: Mutch 9, Campbell 25.
Liverpool: Mignolet 6, Johnson 7, Skrtel 7, Agger 6, Flanagan 6 (Cissokho 70mins 6) Gerrard 7, Henderson 7, Allen 6, Coutinho 7 (Sterling 68mins), Sturridge 6.5 (Sakho 90mins), Suarez 9.
Subs not used: Brad Jones, Aspas, Moses, Lucas.
Booked: Gerrard, Skrtel, Allen.
Goals: Suarez (16, 60, 90), Skrtel (41,53), Sturridge 75.
Attendance: 28,018.
Referee: Neil Swarbrick 7.
Man of the match: Luis Suarez

No comments:
Post a Comment