Pages

Saturday, March 1, 2014

EUROPA LEAGUE: RAUNDI YA TIMU 16: SPURS vs BENFICA, PORTO vsNAPOLI, JUVE vs FIORENTINA, MECHI KUCHEZWA MACHI 13 & 20

EUROPA LIGI ilimaliza Raundi ya Mtoano ya Timu 32 Juzi Alhamisi na sasa Timu zinaingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na Droo yake imeibua Mechi safi za mvuto mkubwa.
Moja ya Mechi hizo ni ile itakayokutanisha Mabingwa wa zamani wa UEFA CUP, FC Porto ya Portugal na SSC Napoli ya Italy.
Nyingine ni ile kati ya Tottenham ya England na Benfica ya Portugal.

Pia lipo pambano la Timu za Italy pekee wakati Juventus itakapoivaa ACF Fiorentina ikiwa ni kama marudiano ya Fainali ya Mwaka 1990 ya UEFA CUP na Juventus kusaka kutinga Fainali ya EUROPA LIGI Mwaka huu ambayo itachezwa Uwanja wao wenyewe, Juventus Stadium, Jijini Turin hapo Mei 14.
Mechi hizi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 zitachezwa hapo Machi 13 na Marudiano ni Machi 20.
RATIBA
(Mechi kuchezwa Machi 13 & 20)
AZ Alkmaar (NED) v FC Anji Makhachkala (RUS)
PFC Ludogorets Razgrad (BUL) v Valencia CF (ESP)
FC Porto (POR) v SSC Napoli (ITA)
Olympique Lyonnais (FRA) v FC Viktoria Plzeň (CZE)
Sevilla FC (ESP) v Real Betis Balompié (ESP)
Tottenham Hotspur FC (ENG) v SL Benfica (POR)
FC Basel 1893 (SUI) v FC Salzburg (AUT)
Juventus (ITA) v ACF Fiorentina (ITA)
SAFARI YA TURIN
ROBO FAINALI: Droo Machi 21 March, Mechi Aprili 3 & 10l
NUSU FAINALI: Droo Aprili 11, Mechi Aprili 24 na Mei 1
FAINALI: Jumatano Mei 14, Juventus Stadium, Turin, Italy
 
EUROPA LIGI
MATOKEO
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 32
Alhamisi Februari 27
[Kwenye Mabano Jumla ya Mabao kwa Mechi zote mbili]
FC Rubin Kazan – Russia 0 Real Betis – Spain 2 [1-3]
Ludogorets Razgrad – Bulgaria 3 SS Lazio – Italy 3 [4-3]
FC Basel 1893 – Switzerland 3 Maccabi Tel-Aviv FC – Israel 0 [3-0]
SSC Napoli – Italy 3 Swansea City AFC – Wales 1 [3-1]
FC Shakhtar Donetsk – Ukraine 1 FC Viktoria Plzen - Czech Republic 2 [2-3]
Eintracht Frankfurt – Germany 3 FC Porto – Portugal 3 [5-5, Porto yapita Bao za Ugenini]
Sevilla FC – Spain 2 NK Maribor – Slovenia 1 [4-3]
Red Bull Salzburg – Austria 3 Ajax Amsterdam – Netherlands 1 [6-1]
KRC Genk – Belgium 0 FC Anzhi – Russia 2 [0-2]
Tottenham Hotspur – England 3 FC Dnipro Dnipropetrovsk 1 [3-2]
ACF Fiorentina – Italy 1 Esbjerg fB – Denmark 1 [4-2]
Benfica – Portugal 3 PAOK FC – Greece 0 [4-0]
Trabzonspor – Turkey 0 Juventus FC – Italy 2 [0-2]
Olympique Lyonnais – France 1 Chernomorets Odessa – Ukraine 0 [0-0]
AZ Alkmaar – Netherlands 1 Slovan Liberec - Czech Republic 1 [1-0]
Valencia – Spain 0 FC Dinamo Kiev – Ukraine [2-0]

No comments:

Post a Comment