Pages

Monday, March 10, 2014

CRISTIANO RONALDO AMFUNIKA DAVID BECKHAM ! NDIO MWANASOKA TAJIRI ZAIDI DUNIANI.

Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ndio mwanasoka tajiri zaidi duniani.Wealth: Real Madrid superstar Cristiano Ronaldo topped the annual Goal.com Football Rich List with an estimated wealth of £122million
Katika listi hiyo iliyotangazwa leo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu msimu uliopita. Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real Madrid miezi kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na mwanasoka anayelipwa zaidi kimshahara Wayne Rooney.Pushed into second: Barcelona star Lionel Messi was just behind Ronaldo in the list with a worth of £120.5m
Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya wanasoka matajiri zaidi duniani.Spitting image: Ronaldo poses to a waxwork of himself at the Madrid Wax Museum back in DecemberRonaldo poses to a waxwork of himself at the Madrid Wax Museum back in DecemberThat's pants! Ronaldo launched his own CR7 line of underwear last yearRonaldo launched his own CR7 line of underwear last year

LISTI KAMILI
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m

No comments:

Post a Comment