Pages

Friday, March 21, 2014

CHAMPIONS LEAGUE DRAW: MANCHESTER UNITED v BAYERN MUNICH, REAL MADRID v BORUSSIA DORTMUND, PSG v CHELSEA, BARCELONA v ATLETICO MADRID

Mchezaji wa Barcelona na Real Madrid Luis Figo kulia na General secretary Gianni Infantino leo kwenye Droo ya UEFA Champions Ligi.
Droo ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI iimefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Bayern Munich watakutana na Mabingwa wa England, Manchester United, na Mechi ya Kwanza kuchezwa Old Trafford Aprili 1 au 2.
Chelsea watakuwa Ugenin kucheza na Paris Saint-Germain.
Barcelona wataanza kwao Nou Camp kwa kucheza na wenzao wa Spain Atletico Madrid.
Real Madrid wataanza Nyumbani Santiago Bernabeu kwa kucheza na Klabu ya Germany Borussia Dortmund.
Mechi za Marudiano zitachezwa Wiki moja baadae.
Up close and personal: Manchester United were drawn against old enemy Bayern MunichManchester United kuvaana na Bayern Munich
Something funny, Luis? Figo was in a jovial mood for the drawLuis Figo akionekana wafuraha leo kwenye Droo
Holy grail: The Champions League trophy in Nyon, Switzerland ahead of the draw(Mwali) Kombe lenyewe la Champions League linavyoonekana huko Nyon, Switzerland
In the mix: Wayne Rooney and Manchester United are outsiders for the competition after scraping throughWayne Rooney kuiongoza United
Happy? Samuel Eto'o and Chelsea eased past Galatasaray in the round of 16 after a 2-0 win at Stamford BridgeSamuel Eto'o na ndani ya kikosi Chelsea kuumana na PSG
Big boys: Real Madrid's Cristiano Ronaldo (right) and Gareth Bale are looking to deliver another trophyWachezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo na Gareth Balekuongoza mashambulizi watakapokwaana na Borussia Dortmund

QUARTER-FINAL DRAW 2014
Barcelona vs Atletico Madrid
Real Madrid vs Borussia Dortmund
Paris Saint-Germain vs Chelsea
Manchester United vs Bayern Munich


The first-leg games will be played on April 1 and 2, with the second-leg clashes scheduled for April 8 and 9.


UNITED V BAYERN RECENT RUN-IN
April 7, 2010

Manchester United 3-2 Bayern Munich (Bayern progress on away goals)
March 30, 2010
Bayern Munich 2-1 Manchester United
July 30, 2009
Bayern Munich 0-0 Manchester United (Audi Cup)
March 13, 2002
Bayern Munich 0-0 Manchester United
November 20, 2001
Manchester United 0-0 Bayern Munich
April 18, 2001
Bayern Munich 2-1 Manchester United (Bayern progress to semi-finals)
April 3, 2001
Manchester United 0-1 Bayern Munich
May 26, 1999
Manchester United 2-1 Bayern Munich (United win the Champions League at the Nou Camp)
December 9, 1998
Manchester United 1-1 Bayern Munich
September 30, 1999
Bayern Munich 2-2 Manchester United

No comments:

Post a Comment