Pages

Saturday, February 8, 2014

LIVERPOOL YAISHUSHIA KIPIGO ARSENAL LEO, YAIFUNGA MABAO 5-1 ANFIELD

Liverpool wakiwa kwao Anfield leo kuwakaribisha Arsenal wamewafunga bao 4-0 kwenye kipindi cha kwanza, Martin Skrtel akifunga bao la mapema ndani ya dakika moja. Bao la pili lilifungwa tena na huyo huyo Martin Skrtel katika dakika 10. Raheem Sterling akafunga bao la tatu katika dakika ya 17 huku 
Daniel Sturridge akifunga bao la nne katika dakika ya 20. Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika Liverpool ndio walioenda mapumziko kifua mbele kwa bao 4-0 dhidi ya Arsenal.Taswira ya uwanjani Anfield wakati wa dakika chache kabla ya mapumzikoTutajificha wapi mtaani!!! mhhh..!Martin Skrtel ndie aliyeanza kuwafungulia mvua ya magoli Anfield, ndani ya sekunde ya kwenye dakika ya kwanza bao...1-0
 Martin Skrtel akishangiliaMartin Skrtel akishangilia vikali baada ya kufunga bao~!!!
Nipepee kwanza maana....mhhhh!!!!
 Martin Skrtel akishangilia bao lake la pili

Wamekwisha Gunners ndani ya dakika 20 wameishafungwa bao 4-0
Daniel Sturridge akifunga bao la nne na kufanya  4-0 katika dakika ya 20Daniel Sturridge akitupia!Defender Per Mertesackerakipagawa baada ya bao la nne ndani ya dakika 20Mandatory Credit: Action Images / Carl Recine Livepic EDITORIAL USE ONLY. No use with unauthorized audio, video, data, fixture lists, club/league logos or live services. Online in-match use limited to 45 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications. Please contact your account representative for further details.Balaa...Liverpool wakitingisha nyavu za Gunners...
Makocha:Mzee Wenger kulia akiwa hoi! huku Brendan akiwahimiza wachezaji wake kuendelea na mashambulizi..

No comments:

Post a Comment